Tuesday, 8 July 2014

MWANAMKE JIKO!

Nimepika nyama ya kusaga iliyochanganywa na maharagwe meupe, karoti  na french beans.Hii inaendana sana na pasta ila mimi si mpenzi wa pasta hivyo nimeamua kupika wali.
Ni chakula kitamu na hutumii muda mwingi kutayarisha.Karibuni!

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...