Monday, 14 July 2014

MWILI HAUJENGWI KWA MBAO

Huu ni mlo niliokula mchana wa leo.Ni samaki aina ya salmon, viazi 2 vya kuchemsha na mbogamboga ambazo ni brokoli,njegere, pilipili hoho nyukundu na mahindi machanga.
Nilitengeneza na sosi ambayo nilimwagia katika salmon.
Ni chakula chenye afya na ni rahisi kutengeneza.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...