Kampeni za uchaguzi mkuu zinaendelea nchini Sweden kwa vyama vya siasa kunadi sera zao.Mabango tofauti kuhusu sera za vyama yapo katika kila kona ya jiji.Kila kitu kinaenda kwa utulivu mkubwa.Picha hizi ni jijini Stockholm.
Sunday 31 August 2014
DESIGNS TOFAUTI ZA MAPAZIA
Mapazia huongeza mvuto katika nyumba.Kuna mitindo tofauti ya mapazia kulingana na matakwa na hali yako ki- uchumi.Kitu kikubwa kinachohitajika katika mchakato mzima wa kuweka mapazia katika nyumba yako ni UBUNIFU!
Ubunifu katika uchaguaji wa rangi na mitindo ya ushonwaji wa mapazia yako.Hebu na tuangalie mitindo tofauti ya mapazia.
Ubunifu katika uchaguaji wa rangi na mitindo ya ushonwaji wa mapazia yako.Hebu na tuangalie mitindo tofauti ya mapazia.
THE KITCHEN: TENGENEZA JIKO LAKO LIWE KATIKA MWONEKANO HUU
Tengeneza jiko lako kulingana na ukubwa wa chumba cha jiko na mahitaji yako.
Saturday 30 August 2014
Friday 29 August 2014
PICHA: IRENE KOKI MUTUNGI RUBANI MWANAMKE WA BOEING B787 DREAMLINER
Irene Koki Mutungi, kutoka kenya, awa ni mwanamke wa kwanza barani Africa kurusha ndege
aina ya Boeing B787 Dream liner.
PICHA NA BBC
Thursday 28 August 2014
KARIBU SALMON, BROCCOLI NA VIAZI VYA KUCHEMSHA
Huu ni mlo rahisi kwangu kwani matayarisho yake ni ya muda mfupi sana.Faida ya chakula hiki ni kina virutubisho vyote.
UTALII: JIJI LA DAR KATIKA PICHA
Barabara ya Ohio |
Jengo jipya ambalo litakuwa makao makuu ya NMB.Jengo hili linajengwa ilipokuwa nyumba ya sanaa jijini Dar |
Wednesday 27 August 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...