Sunday 31 August 2014

KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU ZIKIENDELEA STOCKHOLM

Kampeni  za uchaguzi mkuu  zinaendelea nchini Sweden kwa vyama vya siasa kunadi sera zao.Mabango tofauti kuhusu sera za vyama yapo katika kila kona ya jiji.Kila kitu kinaenda kwa utulivu mkubwa.Picha hizi ni jijini Stockholm.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...