
Rais Kikwete akibofya kitufe kuzindua rasmi tovuti ya Diaspora http://www.tanzaniadiaspora.org/

Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative Bw. Emmanuel Mwachullah

Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiongozana na Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative Bw. Emmanuel Mwachullah kuelekea ukumbini

Rais Kikwete akiagana na Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Mchechu.

Rais Kikwete akiagana na wadau wa taasisi ya umeme vijijini ya Wakawaka

Rais Kikwete akiaganba na Wana-Disapora
CHANZO: Issa Michuzi

No comments:
Post a Comment