
Bustani ya Forodhani iliyopo barabara ya Independence,Tanga

Madhari nzuri ya bahari pamoja na bandari ya Tanga inavyoonekana kutokea pembezoni mwa bustani ya Forodhani(mnara wa saa)

Picha zote na Anna Nindi,safarini Tanga
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment