Sunday 7 September 2014

CHEKA UNENEPE

Baniani na Muislam walifungwa jela chumba kimoja. Baniani akaomba aruhusiwe kuingia na sanamu ya Mungu wake ili awe anafanya sala na maombi.
Muislam akasafisha tu kieneo cha kusalia mle ndani.Ikawa kila mtu kivyake, wakisali na kuomba  watoke jela. Siku moja Muislam akaachiwa.  Baniani akamuuliza: 
"Wewe nafanyaje mpaka iko toka, mimi naomba kila siku hapana toka?" Muislam akajibu:
 "Tatizo wewe na Mungu wako nyote mko jela, atakaemtoa mwenzie nani?
JUMAPILI NJEMA KWENU WOTE!

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...