Monday 22 September 2014

INTERIOR DECOR: MAPAMBO YA KITAMADUNI YANAVYOWEZA KUPENDEZESHA NYUMBA

Mapambo ya kitamaduni kama ngoma, vinyago, picha za kuchora  n.k, yanaweza kubadilisha kabisa mandhari ya nyumba yako na kuifanya iwe na mvuto.Hii itategemea ubunifu wako katika kuvipangilia vitu hivyo.Nakumbuka wakati nyumbani kwetu tulikuwa na mapambo mengi ya asili kama ngoma, ungo za aina tofauti, side tables za mpingo, vinyago,picha zilizotengenezwa kwa kutumia majani ya migomba nk.Baba yangu alikuwa mpenzi sana wa vitu hivyo.Kusema kweli nyumba ilikuwa na mvuto wa aina yake!
Hebu tuangalie baadhi ya mapambo katika picha hizi.
The Olive Exclusive, Windhoek, Namibia. http://www.travelplusstyle.com/hotels/the-olive-exclusive-windhoek

The Olive Exclusive, Windhoek, Namibia. http://www.travelplusstyle.com/hotels/the-olive-exclusive-windhoek

wall decorating with zambezi baskets ... love the texture and contrasting tones.

Afrocentric Style Decor - Design centered on African Influenced Elements

Living Room

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...