Tuesday 23 September 2014

INTERIOR DECOR: MARBLE FLOORING TILES DESIGNS

Kutokana na uimara wa  marumaru (marble), hutumika vilevile katika kuta za jikoni, bafuni/chooni na huwekwa juu ya meza. Marumaru hupatikana katika rangi na ukubwa tofauti.Uwekaji wake huhitaji ubunifu wa hali ya juu ili kuleta unadhifu unaotakiwa.Na kwa hakika zikiwekwa vizuri,huleta mwonekano wenye mvuto sana ndani ya nyumba.
Kwa kupata mvuto uliopitiliza,uwekaji wa marumaru uzingatie urembaji wa ndani ya nyumba yako.Pata picha kamili kwa kuangalia mfano wa uwekaji wa marumaru uliozingatia urembaji wa ndani ya nyumba.
glamour marble flooring tiles designs 2013 Marble Flooring Tiles Designs 2013



Marble floor tiles design ideas Marble Flooring Tiles Designs 2013

Marble flooring tile designs ideas Marble Flooring Tiles Designs 2013

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...