Monday 22 September 2014

MOJA YA UGONJWA WANGU

Wadau blogu yangu imelenga katika vitu ninavyoviweza na kuvipenda.Ninapenda sana upambaji wa ndani ya nyumba, mavazi, mapishi na manukato.Hii imepelekea kununua sana mapazia, foronya za mito ya makochi, mashuka n.k.Sijasahau na manukato.Angalia picha baadhi ya manukato niliyonayo.
Kuweni huru kuniuliza chochote na vilevile kutoa mawazo yenu na tutajadiliana hapa kwa faida ya wasomaji wangu wote.Kuna mambo mengi mazuri yanakuja na mtaona hapa.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...