Friday 31 October 2014

NYUMBANI NI NYUMBANI:CHAI KUTOKA TANZANIA

Tanzania kuna majani ya chai ya aina tofauti.Kati ya niliyopenda ni ginger na hibiscus.Chai hii ndiyo ninayotumia.Hibiscus ina vitamini c kwa wingi hivyo ni nzuri sana kwa afya yako.Tusapoti bidhaa zetu.

Kama ulipitwa na posti ya umuhimu wa ua la hibiscus,angalia posti zetu za tarehe 29 oktoba 2014.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...