Nilifanikiwa kufika Mahaba beach nilipokuwa Dar es salaam hivi karibuni.Kilichonivutia ni mnada wa samaki.Nilikuwa najua samaki kwa bei nzuri ni ferry tu.Kwa wale ambao mpo Dar mnaweza kwenda kupata samaki fresh kutoka baharini na kwa bei nzuri MAHABA BEACH.
No comments:
Post a Comment