Friday, 14 November 2014

MY SIGNATURE FRAGANCE

Mimi ni mpenzi wa manukato na ningependa kuwashirikisha baadhi ya manukato ambayo nimetumia na ambayo baadhi ya watu wangu wa karibu wametumia.Mdau yeyote ambaye angependa kutushirikisha manukato anayotumia ajisikie huru kufanya hivyo.
Nimetumia manukato ya Gucci, Dior, Thierry Mugler, Nina Ricci, Chloe, Lancome, Georgio armani na mengine mengi.Baadhi ya manukato hayo ni:
Alien Essence Absolue Thierry Mugler for women

                                                 Alien Essence Absolue Thierry Mugler



YSL Manifesto

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...