Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2014

CHEKA NA CHAKUBANGA!

STOCKHOLM KUNAVYOONEKANA LEO MKESHA WA MWAKA

Nimepata baadhi ya picha kuonyesha jiji la Stockholm linavyoonekana leo? Siku ya mkesha wa mwaka mpya.Hakika Kunapendeza.

SALAM ZA MWAKA MPYA KUTOKA RAINBOW-TZ BLOG!

Tunawashukuru wasomaji wote wa rainbow-tz kwa kuonyesha mapenzi yenu makubwa kwetu kwa mwaka huu 2014.Kutembelea kwenu blogu hii ndiyo kumefanya blogu yetu kufika hapa ilipo.Mwaka 2014 umekuwa wa mafanikio kwa wengine na wa kukata tamaa kwa baadhi yetu.Tuzidi kumwomba Mungu azidi kutuongoza katika kujituma zaidi ili tuweze kufikia malengo yetu katika mwaka 2014.Vilevile kwa wale waliojaliwa ziada, tuwasaidie wanaohitaji kwani kutoa ni moyo na si utajiri.Tukumbuke siku zote mafanikio na baraka huletwa na KUJITUMA, UPENDO NA UAMINIFU.                        Happy New Year wasomaji wangu wote! CHEERS!

KALI YA SIKU

AINA ZA NYUMBA KWA WANAOTAKA KUMILIKI MIJENGO MIKUBWA

Nyumba hizi nimevutiwa na jinsi mawe yalivyotumika katika kuongeza mvuto.Kila nyumba ina uzuri wake.Kwa unaetaka kumiliki mjengo unaweza kutumia upambaji huu wa mawe katika mjengo wa aina yeyote unaotaka kuumiliki, na si lazima uwe mkubwa.Kazi kwako mdau!


SHOES THAT EVERY MAN MUST OWN

Wema Sepetu ''IN MY SHOES'' S02EP07

CLUTCH WITH DIAMOND

LADYLIKE CASUAL LONG SLEEVE OVERCOAT

THE LIVING ROOM: LEATHER SOFA ZA RANGI MBALIMBALI NA MPANGILIO WAKE

THE GARDEN: UBUNIFU KATIKA BACKYARD GARDEN

STRING HAIRPIECE NA MWONEKANO WAKE

STREET LONG SLEEVE OVERCOAT

FASHIONABLE CLUTCHES

WAMETOKELEZEA!

I LOVE THIS OVERCOAT

PATA NGUO ZA KIKE, KIUME NA WATOTO KUTOKA NEEMA CLASSIC FASHION TANGA

Kwa mahitaji ya nguo,mikoba(handbags).viatu kwa wanawake na nguo za watoto na wanaume,waoneNEEMA CLASSIC FASHION waliopo jijini Tanga.
Wanapatikana India Street,simu namba +255 715 306551
                                                            +255 784 306561
Vitenge na nguo za watoto

CASUAL BAND COLLAR LONG SLEEVE BLENDED TRENCH-COAT

WORLD'S TOP 10 HEAVIEST-DRINKING NATIONS

All of the countries topping the list are in Europe, according to the"Global status report on alcohol and health 2014." 10th: Portugal - 12.9 litres
9th: Czech Republic - 13 litres


MWONEKANO WA MEZA YANGU YA CHAKULA CHA KRISMASI

Mimi ninapenda sana kupika hivyo nikiwa na muda hupenda kusndaa chakula kizuri kwaajili ya familia.Picha zinaonyesha baadhi ya vyakula nilivyoandaa kwaajili ya meza ya krismasi. Nilijitahidi wadau maana huwa sina masihara na jiko!

I LOVE THE VIEW

Coco beach Dar.Asante James kwa picha.

KWA WANAWAKE: MANUKATO UNAYOWEZA KUPAKA KAZINI

Daisy Eau So Fresh EdT

THE LIVING ROOM: FABRIC SOFA NA MPANGILIO WAKE

PENDEZA KWA KUBANDIKA HAIRPIECE

THE BEDROOM: UPANGILIAJI WA SAMANI KATIKA CHUMBA CHA KULALA

WIGS KWA WANAWAKE

Human hair wig

THE WARDROBE: MEN DESERT BOOTS

CHRISTMAS PREPARATIONS: CHRISTMAS EVE SWEDISH FOOD

MERRY CHRISTMAS KWENU WOTE!

Rainbow-tz blog inawatakia wote Krismasi njema.Sikukuu hii na iwe yenye heri kwa wote na ilete matumaini  pale palipokosekana matumaini,upendo mahali ambapo pana chuki na heshima pale palipojaa dharau. Tujaribu vilevile kuwakumbuka wale walio na mahitaji muhimu,kila mtu afanye hili kwa uwezo wake,na Mungu atatuongezea mara dufu pale tutakapopunguza. MERRY CHRISTMAS KWENU WOTE. Anna
Mmiliki wa blogu

SHAMRASHAMRA ZA KRISMASI STOCKHOLM, SWEDEN

Haya ni baadhi ya mapambo jijini Stockholm.Watu walikuwa busy siku ya jana kununua zawadi na mahitaji mengine.Kwa Waswidi leo ndiyo siku kubwa ambapo ndugu, marafiki wanakutana na kula chakula cha jioni kwa pamoja.

SWALI LA LEO.DODOMA NAKO WATU WANAKWENDA KUHIJI?

Leo hii stendi ya mkoa, Ubungo, Dar es salaam.

THE LIVING ROOM:AINA ZA FABRIC SOFA NA MPANGILIO WAKE