Wednesday 31 December 2014

SALAM ZA MWAKA MPYA KUTOKA RAINBOW-TZ BLOG!



Tunawashukuru wasomaji wote wa rainbow-tz kwa kuonyesha mapenzi yenu makubwa kwetu kwa mwaka huu 2014.Kutembelea kwenu blogu hii ndiyo kumefanya blogu yetu kufika hapa ilipo.Mwaka 2014 umekuwa wa mafanikio kwa wengine na wa kukata tamaa kwa baadhi yetu.Tuzidi kumwomba Mungu azidi kutuongoza katika kujituma zaidi ili tuweze kufikia malengo yetu katika mwaka 2014.Vilevile kwa wale waliojaliwa ziada, tuwasaidie wanaohitaji kwani kutoa ni moyo na si utajiri.Tukumbuke siku zote mafanikio na baraka huletwa na KUJITUMA, UPENDO NA UAMINIFU.
                       Happy New Year wasomaji wangu wote!
CHEERS!

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...