Leo tunaangalia upambaji wa miti ya krismasi.Katika msimu huu miti ya krismasi hupambwa katika sehemu tofauti zikiwamo majumbani,maofisini, madukani na hata barabarani hususan hapa Sweden ninapoishi.Miti hii ipo ya plastiki na halisi.Kwa kupamba barabarani miti ya krismasi halisi hutumika zaidi ila katika maofisi na majumbani wengi hutumia miti ya plastiki.Wapo ambao hupenda kutumia miti halisi katika kupamba nyumba zao vilevile,hii ni chaguo la mwenye nyumba kulingana na mapenzi yako.Uzuri wa miti ya plastiki unaweza kuhifadhi na kutumia tena katika misimu mingine wa krismasi,hivyo inapunguza gharama.
Kinachofanya miti hii kupendeza ni upambwaji wake. Mapambo mbalimbali hutumika katika kupamba miti hii na kuleta mvuto wa aina tofauti.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment