Wednesday, 17 December 2014

MJADALA WA LEO: ILI SINEMA ZA BONGO KUTEKA SOKO LA NJE NI LAZIMA ZIWE KWA LUGHA YA KIINGEREZA?


KITENDAWILI
Licha ya changamoto nyingi walizonazo Wasanii wa Tanzania (Bongo movies), wanajitahidi sana kutengeneza sinema  mbalimbali kwa lugha ya Kiswahili ambayo ndiyo lugha ya Taifa.Je, ili sinema za bongo ziweze kuteka soko la nje ni lazima watumie lugha ya Kiingereza? 

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...