Wednesday 30 April 2014

HII ITAWASAIDIA WENGI: JINSI YA KUFUNGA KAMBA ZA RABA

Cool ways to tie shoes
Hakika hii itawaongezea wengi uwezo katika kufunga kamba za raba.Wengi wetu tunaweza kufunga aina moja au mbili kati ya aina  hizo hapo juu!

MPANGILIO WA MAVAZI KWA WANAUME

Man Style ☆                          gingham.  plaid.

LEO NI SIKU YA MKESHA WA WALPURGIS KATIKA BAADHI YA NCHI ULAYA

Leo ni siku ya mkesha wa Walpurgis au "valborg" kama ijulikanavyo hapa nchini Sweden. Walpurgis inatokana na jina la mwanamke Walpurga aliyekuwa mmisionari. Sherehe za "valborg" huambatana na uwashaji moto mkubwa kama kuashiria kuingia rasmi katika majira ya spring. Sherehe hii si ya kidini bali ni ya kiutamaduni  au kidesturi zaidi.Sherehe hizi huambatana na watu kucheza kuuzunguka moto huo.valborg ilianzia nchini Ujerumani na baadae kusambaa katika nchi nyingine za Ulaya kama Sweden, Finland, Czech, Lithuania, Latvia, Estonia na Netherlands. Chini ni picha inayoonyesha jinsi moto unlivyowashwa.



TREVLIG VALBORG!

JINSI YA KUPAKA RANGI NDANI YA NYUMBA





JINSI YA KUPAMBA KUTA ZA NYUMBA YAKO






THE BEDROOM: ROUND LEATHER BEDS




KUWA MBUNIFU: PENDEZESHA NYUMBA YAKO KWA CONTAINER GARDENING

Container Gardening 101 - Redeem Your Ground | RYGblog.com & Unique by Design

Container of Impatience on a wicker chair ~ perfect for a shade garden

LEO NI SIKU YA MITINDO YA NYWELE,TUANGALIE BAADHI YA MITINDO YA NYWELE




TUNU ALIYETUNUKIWA - TANGA RAHA ( BONGO FLAVA - RADIO MBAO)

PANGILIA MAVAZI YAKO NAMNA HII

33 Polyvore Combinations For Every Day33 Polyvore Combinations For Every Day

AINA TOFAUTI ZA MAPAZIA

GRETA öljettlängd 2-pack    MICHELLE öljettlängd 2-pack

MPANGILIO WA SAMANI KATIKA CHUMBA CHA KULALA





KATUNI YA LEO

Tuesday 29 April 2014

MANUKATO TOFAUTI YA WANAWAKE

Manukato ambayo ninayaweka hapa baadhi nimewahi kutumia na mengine ninatumia hivyo ninajua uzuri wake.Kuna mengine nimepata sifa zake au yanatumiwa na baadhi ya marafiki zangu.Si vibaya na wewe msomaji ukajaribu huko uliko.



ANGALIA LIVE SHOW YA MWIMBAJI JOE THOMAS WA MAREKANI MCHINI KENYA!

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

BADILISHA MWONEKANO WA NYUMBA YAKO KWA BUSTANI YA MAUA NA MIMEA





SKETI YAMTIA MASHAKANI POLISI KENYA


Afisa Linda Okello akiwa kazini
Afisaa mmoja wa polisi mwanamke nchini Kenya amepewa onyo kali kwa kuvalia sketi iliyokuwa imembana kiasi cha kuonyesha umbo lake.
Wakuu wake walichukua hatua ya kumuonya polisi huyo baada ya picha yake kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kupigiwa gumzo kubwa.
Alipigwa picha akiwa amevalia sketi yake fupi na yenye kumbana akiwa anashika doria katika eneo ambako mashindano ya magari yalikuwa yanafanyika eneo la Kati mwa Kenya.

PANGILIA MAVAZI YAKO NAMNA HII

LOLO Moda: Elegant ladies dressesWork Outfit

UREMBO WA HINA: MICHORO MBALIMBALI YA HINA





THE BEDROOM:MPANGILIO WA SAMANI KATIKA CHUMBA CHA KULALA




THE DINING ROOM: MEZA ZA CHAKULA ZA KIOO




THE KITCHEN: DESIGNS TOFAUTI ZA UJENGAJI WA JIKO





AINA MBALIMBALI ZA WIGI KWA WANAWAKE





KATUNI YA LEO

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...