Jumuiya Ya Madaktari Wa Marekani Imetoa Majibu Ya Vyanzo Vya Cancer:-
1.Usinywe Chai Kwenye Vikombe Vya Plastic Kuanzia Sasa
2.Usile Chochote Chenye Moto Kilicho Ndani Ya Mfuko Wa Plastic Mfano Chipsi
3.Usipashe Chakula Kwenye Microwaves Kwakutumia Vyombo Vya Plastic
ANGALIZO:Kumbuka Plastic Ikikutana Na Joto Kali Inatoa Kemikali Inayosababisha Aina 52 Za Cancer Kwahiyo Wafahamishe Wote Uwapendao Ili Waepukane Na Madhara Haya.
CHANZO:JAMII FORUMS
No comments:
Post a Comment