Thursday 1 January 2015

KUNA WALIONICHOKOZA LEO!

Uchokozi mwingine mbaya.Kuna walionitumia picha hizi kutoka Tanzania wakati mwenzao nina njaa.Si ningeweza kuzimia? Haya, ngoja nile kwa kuona!
Samaki wa kukaanga na viazi vya kuchemsha


Mlo wote ulivyokuwa unaonekana
Kachumbari
Nanasi

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...