Plan ya nyumba 2 ambazo kidogo zinafanana, tofauti moja
ina gereji ya gari nyingine haina na tofauti nyingine ni mpishano wa sehemu ya kufulia na store. Chagua kulingana
na matakwa yako.


Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment