Friday 20 February 2015

THE GARDEN: PALM TREE INAVYOWEZA KUPENDEZESHA MAZINGIRA YA NYUMBA YAKO

Kuna aina nyingi ya mimea unayoweza kuweka katika bustani yako ya maua.Katika bustani zetu za maua sisi wote huweka mimea ambayo ni chaguo letu. Katika mimea niipendao Palm, na fern ni miongoni mwa hiyo mimea.Je,wewe msomaji unapenda ipi?

Tuangalie baadhi ya palm na fern zikiwa zimepandwa kwa kuchanganywa na mimea mingine kiubunifu ili kuleta mvuto unaotakiwa katika bustani yako.


Container with Palm
Palm tree na fern zilivyopendeza hapa



Palm in a pot.

Grand scale container gardening

Palm tree-  perfect for the back deck

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...