Picha
zifuatazo ni za Tamarind Hotel iliyopo Zanzibar. Si vibaya kufanya utalii wa
ndani katika kisiwa cha Zanzibar na kufurahia uzuri wake. Mbali ya Hoteli ya Tamarind, Kuna hoteli nyingine nyingi
unaweza kukaa kulingana na kipato chako.




Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment