Katika tembea yangu,nimetembelea wilaya ya Kisarawe mara nyingi sana.Kuna kipindi tulikuwa tunakwenda Kisarawe kila siku kwa muda wa miezi miwili kikazi.
Kisarawe ni wilaya
iliyopo mkoani pwani. Katika wilaya hii, mafenesi yanalimwa kwa wingi.Je, mbali
na kuyatumia kama matunda na chanzo cha kipato,unajua wakazi walikuwa
wanafanyanini mafenesi? Walikuwa wanayatumia katika kupanga foleni za kwenye
mabasi! Hii ni habari ya kweli.
Imeandikwa na Anna
Nindi
No comments:
Post a Comment