Saturday 25 April 2015

AFYA: FAIDA YA PILIPILI MANGA( BLACK PEPPER)

Pilipili manga


















Pilipili manga ina faida nyingi sana kiafya katika mwili wa binadamu. Ni nzuri kutumia unga wa pilipili manga katika chakula aidha wakti unapika au kuongezea katika chakula kilichopikwa. Baadhi ya faida hizo ni:

  •  Inasaidia katika kupunguza uzito
  • Inasaidia katika usagwaji wa chakula Inazuia saratani hususan saratani ya matiti
  •  Inatibu mafua.Nyunyizia unga wa pilipili manga katika supu ya moto
  •  Husaidia watu wenye anorexia: Pilipilimanga ni inajulikana kuboresha usagwaji wa chakula na kuongeza hamu ya kula
  •  Inaweza kutumika kama njia ya kuzuia uzazi kwa wanawake
  •  Inasaidia kutibu magonjwa yanayosababishwa na bakteria
  • Inasaidia kuimarisha afya ya meno hususan kuzuia kuoza kwa meno
  • Inaondoa mikunjo(wrinkles)

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...