Jijini
Stockholm nchini Sweden,tunajiandaa kwenda kwenye uwashaji moto mkubwa kusherehekea walpugris au “valborg”,kama
wenyewe Waswidi wanavyoita.
Sherehe
hii inaashiria kumalizika kwa msimu wa
baridi na kuingia katika msimu wa spring.
TREVLIG
VALBORG!
No comments:
Post a Comment