Ili
pazia ipendeze katika dirisha ni lazima iwe na ukubwa wa kutosha.Mfano, kama
dirisha lako lina upana wa meta 1 weka vipande viwili vya pazia kila kimoja
kiwe na ukubwa wa 11/2m. Hii itafanya pazia liwe na mikunjo ambayo
ndiyo huleta mwonekano unaovutia.
Vilevile
kwa pazia za sebuleni na chumba cha kulala zinapendeza zikiwa
ndefu.Zikining´inia kwa kweli hazileti mvuto kabisa.
Nitawaletea
vidokezo vingine kuhusu mapazia katika makala zijazo.

Pazia katika sebule inatakiwa kuwa na urefu huu

Bedroom panaweza kuwa hivi

Jikoni unaweza kuweka mapazia design hii




No comments:
Post a Comment