Tuesday 5 May 2015

HOUSE OF CARDS

Nimeanza Kuangalia  series hizi za “House of Cards”. Kwa kweli ni series ambazo zinasisimua kweli na ukiangalia chapter moja utataka uendelee inayofuata uone nini kitatokea. Ni series  ambazo zina maudhui ya kisiasa zaidi.

Kama ni mpenzi wa kuangalia series, jaribu kuangalia series hizi na hutachukia.


Washiriki wakuu, Kevin Spacey kama Francis Underwood  na Robin Wright kama Claire Underwood


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...