Saturday, 30 May 2015

ISIDINGO THE NEED,TAMTHILIYA YENYE UTAMU WAKE

Kwa wale mnaoangalia tamthiliya ya Isidingo the need kama mimi, mna nini la kusema juu ya ndoa ya Katlego na Lincoln Sibeko.Je,ndoa hii itadumu?

Tamthiliya imenoga kwasasa kwani nina shauku kubwa ya kujua nini kitatokea next.Baker Haines atafanya nini baada ya kupata taarifa za ndoa ya Katlego? Maswali na shauku ni kubwa.Tuendelee kuangalia tuone nini kitatokea.

Lincoln Sibeko & Katlego