Tuesday, 12 May 2015

KALI YA SIKU!

Mwalimu wa shule ya msingi nchini Ghana akiwa mitaani kuuza matikiti maji wakati wa mapumziko ya mwishoni wa wiki.Ona jinsi anavyoijali kazi yake,kwani amevaa suti safi na matikiti maji yake ameyaweka kwa kuzingatia usafi zaidi.Mwalimu ameona fursa na ameamua kuitumia.
Hongera zake maana si wote wanaweza hii.
Hii picha ina mafunzo mengi sana ndani yake,anaye elewa na aelewe!