Sunday, 31 May 2015

PICHA YANGU LEO

Hii ndiyo alama ya taifa letu.Twiga!
Huyu ni mnyama mpole na mwenye mwendo wa madaha.Akitembea hutatamani kuacha kumwangalia.Ama kweli Tanzania tuna utajiri uliotukuka.