Saturday, 9 May 2015

TEMBEA UONE:How to de-seed a Pomegranate

Nimeipenda hii.Inatakiwa tunapotembea tujifunze vitu na baadae
tuvifanyie kazi.Angalia video hii huyu katika pitapita zake
 katika mitaa ya Bangkok, Thailand aliona jinsi
mtengeneza juisi ya komamanga alivyoweza kutoka mbegu za komamanga kwa urahisi
zaidi.Wengi tumekuwa tukipata taabu ya kutoa mbegu za tunda hili ambapo
tunachafua tu nyumba kwa kutapakaza
 mbegu kila mahali.Chukua ujuzi huu na
hutachafua tena nyumba 


yako!