Skip to main content

THE LIVING ROOM: LEATHER SECTIONAL SOFA

Uzuri wa sectional sofa,unaweza kuweka sofa moja tu sebuleni kwako na likatosheleza.

Siku hizi kila mtu yupo busy na shughuli zake hivyo mambo ya wageni 10 kwa mara moja ni aghalabu. Mambo ya kuweka sofa vipande vingi yamepitwa na wakati wadau!


Nimeipenda sana hii sectional sofa


Hapa mnaweza kukaa watu 6 kwa kujinafasi kabisa

Unaweza kuweka sectional sofa moja na kipande kimoja cha sofa pembeni kama picha inavyoonyeshaPopular posts from this blog

YEBOYEBO,MTINDO WA NYWELE UNAOPENDWA HADI SASA

MICHORO MBALIMBALI YA HINA

JINSI YA KUPAKA RANGI NDANI YA NYUMBA YAKO

Swala la kuchagua rangi inayofaa ndani ya nyumba huwachanganya wengi.Wengi hushindwa kuamua ni rangi gani wapake. Na endapo mtu atataka kuchanganya rangi za aina mbili au zaidi ni rangi gani atumie? Habari hii inaweza kuwasaidia kidogo kwani nitawawekea baadhi ya picha jinsi rangi zinavyoweza kupangiliwa na kupendeza.Kikubwa vilevile zingatia samani ulizonazo au unazohitaji kuweka katika nyumba yake ili usilete mchanganyiko wa rangi utakaoumiza kichwa.