Friday, 8 May 2015

UREMBO: HII KALI, MICHORO YA HINA KICHWANI

Kwa kweli mimi nilikuwa sijui kama kuna urembo wa aina hii.Hii nimekutana nayo katika uchambuzi wangu.Ila wamependeza!Sijui wewe nini maoni yako.

Beautiful Work During Hard Times - The Meta Picture