Friday 1 May 2015

UWEKAJI WA BAA KAMA UNA SEHEMU NDOGO NYUMBANI KWAKO

bar set up for a small space - I would do this with the diy wine bottle/glass holders from pallets. maybe make the cabinet/counter from pallets as well...

Ila kwa kibongobongo ukiwa na baa kama hii utapata wageni kila siku na wengi watakuja kwa ajili ya kinywaji.Je,uweke bango linalosomeka hivi,”HAIRUHUSIWI KWA MGENI KUJICHUKULIA KINYWAJI BILA KUKARIBISHWA”? Hahaha

Nimependa mwonekano wa baa hii hususan kama una sehemu ndogo.Uamuzi ni wako kuweka baa ya wazi na yenye mpangilio mzuri kama hii au kuweka vinywaji vyako pasipoeleweka.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...