Saturday, 23 May 2015

YALIYOJIRI KATIKA TUZO ZA WATU 2015

Tuzo za watu zilifanyika usiku wa jana tarehe 21 mei 2015 katika hoteli ya Hyatt Regency. Angalia baadhi ya picha za washindi na za tukio hilo hapa:

Wema Sepetu
Screen Shot 2015-05-23 at 9.27.41 AM
Lady Jaydee
Screen Shot 2015-05-23 at 9.26.40 AM
Millard Ayo

List ya washindi hii hapa
Mtangazaji wa redio anayependwa- D’Jaro Arungu – TBC FM.
Kipindi cha redio kinachopendwa- Papaso – TBC FM.
Mtangazaji wa runinga anayependwaSalim Kikeke (BBC Swahili)

Kipindi cha runinga kinachopendwa- Mkasi (EATV)
Blog/Website inayopendwa- millardayo.com
Muongozaji wa video anayependwa- Hanscana
Muongozaji wa filamu anayependwa- Vincent ‘Ray’ Kigosi
Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa- Wema Sepetu
Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa- Hemedy PHD
Mwanamuziki wa kike anayependwa- Lady Jaydee
Mwanamuziki wa kiume anayependwa- Ali Kiba
Filamu inayopendwa- Kigodoro
Video ya muziki inayopendwa- ‘Nani kama Mama’– Christian Bella Feat. Ommy Dimpozhttp://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/05/Screen-Shot-2015-05-23-at-9.20.49-AM.png
Picha ya washindi 
PICHA KWA HISANI YA: Millard Ayo