Monday, 29 June 2015

AFYA: FAIDA YA JUISI YA KOMAMANGA


  1. Huweza kuzuia maendeleo ya saratani ya mapafu.
  2. Hupambana na saratani ya matiti
  3. Hupunguza ukuaji wa saratani ya kibofu
  4. Inaweza kuzuia na kupunguza kasi ya ugonjwa wa Alzheimer
  5. Inapunguza kolesterol
  6. Hushusha shinikizo la damu
  7. Hulinda meno


  1. Inasemekana ukinywa juisi ya komamanga (pomegranate) nusu lita kila siku kwa muda wa mwezi mmoja, inasaidia kupunguza mafuta tumboni kwa wale wenye vitambi. Jitahidi kuwa na matumizi ya haya matunda unufaike na uboreshe afya yako.