Tuesday, 2 June 2015

DUNIANI KUNA MAMBO,KUTOKA BRUCE JENNER KUWA CAITLYN

Bruce Jenner, ambae alikuwa ni mume wa Chris Jenner ametokea katika cover la gazeti la  Vanity Fair akiwa katika mwonekano mwingine na jina lingine.Angalia hapa:
'
 Bruce Jenner


Caitlyn

Soma alichoandika katika akaunti yake tweeter na angalia video yake pia kwa
kubofya READ MORE