Tuesday, 23 June 2015

HARAKATI ZA KUNUNUA FUTARI JIJINI TANGA

Wauzaji futari sasa hivi ndiyo msimu wao wa kuchuma.Kila kitu kinauzwa ghali kwasasa kuanzia ndizi mbichi,mihogo,magimbi,viazi vitamu n.k.
Bila kusahau kiungo muhimu,nazi!
Tafadhali wauza futari tuuze vyakula vyetu kwa bei zinazoridhisha ili tusiwakwaze wanaofunga.