Saturday, 6 June 2015

NI SERENA WILLIAMS TENA!ASHINDA MASHINDANO YA TENNIS YA WAZI YA .ROLAND GARROS

 Serena wWilliam alimshinda mpinzani wake Lucie  Safarova kwa  6-3, 5-7, 6-2  katika fainali za mashindano ya tenisi ya Ufaransa, maarufu kama Roland Garros.Bonyeza read more kwa picha zaidi