Saturday, 13 June 2015

PRINCE CARL PHILIP WA SWEDEN KUFUNGA NDOA NA SOFIA HELLQVISTPrince Carl Philip wa Sweden anatarajia kufunga ndoa leo na mchumba wake Sofia Hellqvist.
Ndoa hiyo itafungwa jijini Stockholm na kuhudhuriwa na wageni mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rainbow-tz blog inawatakia Prince Carl Philip na Sofia kila heri katika siku hii kubwa  katika maisha yao.

                               Grattis!!!