Wednesday, 3 June 2015

THE GARDEN:PENDEZESHA NYUMBA YAKO KWA HANGING FLOWER BOXES

Hanging flower boxes/ window boxes ni maua ambayo unaweza kupanda katika boksi maalum za kuotesha maua na kuning´iniza katika dirisha au ukuta,(kulingana na ubunifu wako).
Maua haya huleta mvuto maridhawa katika nyumba yako. Katika boksi moja unaweza kuchanganya maua ya aina tofauti kulingana na matakwa yako. Ukubwa wa boksi utazingatia sehemu unayotaka kuweka.Jaribu kuweka hanging flower boxes nyumbani kwako ili kuleta mvuto zaidi.


Angalia picha zifuatazo ili kujifunza.