Tuesday, 30 June 2015

THE LIVING ROOM: SAMANI ZA SEBULE NA MPANGILIO WAKE


Uzuri wa sebule si tu  kuwa na samani (furniture) nzuri bali ni mpangilio mzuri wa samani hizo.Unaweza kuingia katika sebule ukasikia kichwa kinakuuma kwa msongamano wa vitu. Hivyo mdau, unaweza ukawa na sofa 2 tu na sebule yako ikawa maridadi sana.Vilevile unaweza ukawa na samani za bei rahisi lakini mwonekano wa sebule lako ukamshinda Yule mwenye samani za gharama.

Hebu angalia picha zifuatazo kuthibitisha hili.