PODA: Kazi ya poda ni kuweka ulinganifu katika mwonekano wako
wa usoni baada ya kupaka foundation/concealer.
ROUGE: Hii ni
njia rahisi ya kuupa uso wako rangi na mwonekano halisi
FOUNDATION: Foundation huwa katika aina tofauti ,kama vile poda, krimu au
kimiminika.Foundation huweza kpakwa kwa kutumia brashi,sponji au
penseli/kalamu.Foundation zipo kutoka kwa wabunifu tofauti mfano Elizabeth Arden,Sensai, Lumene
n.k
PRIMER: Huu ni msingi kabla
ya kutengeneza uso wako. Kwa kupaka primer kama utangulizi kabla ya kupaka
foundation au concwaler, kunaweza kupunguza mwonekano mbaya uliopo usoni kama
vile matundu, wekundu wa ngozi au ngozi isiyo na ulinganifu.
CONCEALER: kazi yake ni kuficha alama nyeusi chini ya macho,
kuficha chunusi na kukuweka na mwonekano mwangavu
Concealer ipakwe baada ya kupaka foundation ili kuweka vizuri
sehemu zinazoonekana vibaya.Kifupi concealer ndiyo huleta mwonekano mzuri kwa
kurekebisha mapungufu yanayooneka usoni baada ya kupaka foundation.
...ITAENDELEA...
No comments:
Post a Comment