Skip to main content

CELEBRITIES: PALEMCHUCHUMIO ULIPOSABABISHA MARIAH CAREY AJIKWAE!

Hii ilitokea huko Uhispania ambapo Marih Carey na rafiki yake wa kiume,bilionea James Packer, walipokuwa mapumzikoni.

Awkward: James Packer watched on as Mariah Carey took a tumble down the stairs of his super yacht, the Arctic P, on Wednesday in Formentera, Ibiza
Mariah alipojikwaa huku James Packer akiangalia kutokea katika boti

Super stylish: Mariah did manage to fall in style, wearing a provocative swimsuit with a plunging neckline
Akipata msaada ili asianguke




Covering up: A pink sarong was tied loosely around her waist and an orange handbag looped over one arm

Good recovery: The Hero hitmaker looked happier than ever as they rode the waves after her stumble
Mariah na James Packer ndani ya boti

Glamour girl: The Glitter star later navigated the sand while wearing her black-strapped platform shoes
Mariah na James wakiwa ufukweni mwa bahari

Solid ground: The wooden path that led to the restaurant  made for easier walking for Mariah in those heels

PHOTO CREDIT: The daily mail Uk

Popular posts from this blog

YEBOYEBO,MTINDO WA NYWELE UNAOPENDWA HADI SASA

MICHORO MBALIMBALI YA HINA

JINSI YA KUPAKA RANGI NDANI YA NYUMBA YAKO

Swala la kuchagua rangi inayofaa ndani ya nyumba huwachanganya wengi.Wengi hushindwa kuamua ni rangi gani wapake. Na endapo mtu atataka kuchanganya rangi za aina mbili au zaidi ni rangi gani atumie? Habari hii inaweza kuwasaidia kidogo kwani nitawawekea baadhi ya picha jinsi rangi zinavyoweza kupangiliwa na kupendeza.Kikubwa vilevile zingatia samani ulizonazo au unazohitaji kuweka katika nyumba yake ili usilete mchanganyiko wa rangi utakaoumiza kichwa.