Monday, 13 July 2015

NI WAKATI WA WANAWAKE SASA HONGERENI SAMIA HASSAN SULUHU

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania tumepata  mwanamke ambaye atashika nafasi ya juu ya uongozi wa Taifa(makamu wa rais) kwa upande wa CCM kama watashika madaraka ya kuongoza nchi.Mwanamke huyo ni Samia Hassan Suluhu(pichani).