Thursday, 9 July 2015

PALE SHERIA INAPOKUWA MSUMENO: WAZIRI MSTAAFU WA SWEDEN ANYANG´ANYWA LESENI

Den tidigare jämställdhetsministern Nyamko Sabuni stoppades av polis när hon körde närmre 160 km/h på motorvägen.
Nyamko Sabuni

Aliyewahi kuwa waziri wa jinsia katika serikali iliyopita nchini Sweden, Nyamko Sabuni, amenyang´anywa leseni baada ya kuendesha gari  kwa spidi ya 158 km/h katika eneo ambalo alitakiwa aendeshe kwa spidi ya 50 km/h.
Leseni hiyo ilifutwa mara moja baada ya kukamatwa na polisi katikati ya jiji la Stockholm.
Baada ya miezi 3 Nyamko anaweza kuomba upya leseni.


CHANZO: Aftonbladet