Wednesday, 23 September 2015

COLLEGINE SISTERS OF HOLY FAMILY ORPHANAGE -TANGATarehe 14/9 nilitoa mada kuhusu kituo cha kulea watoto wasiokuwa na wazazi kiitwacho collegine sisters of Holf Family Orphanage kilichopo Tanga,Tanzania.Wengi waliniandikia baada ya kuguswa na watoto hawa na walitaka na wao kuchangia. Ifuatayo ni namba ya sister ambae mnaweza kuwasiliana nae.Sister anaitwa Marcelina na namba yake ni 0765 565 007.
KUTOA NI MOYO NA SI UTAJIRI.TUWASAIDIE WATOTO HAWA KWANI WANAHITAJI MISAADA YETU KWA DHATI.Sophia, mtoto mwenye umri wa miezi 5, ni mmoja kati ya watoto 54 wanaolelewa kituoni hapo

Unaweza kuingia katika website yao hapa vilevile uone njia nyingine za kuchangia
https://suorecolleginetanga.wordpress.com