Wednesday 16 September 2015

GOODNEWS DIAMOND PLATNUMZ APOKEA USHINDI WA TUZO NYINGINE MBILI


Mwaka huu umekuwa mzuri sana kwa mtu wetu Diamond Platnumz kwani amekuwa wa kupokea na kutajwa kwenye tuzo nyingi sana kwa mwaka huu wa 2015 na siku chache zilizopita Diamond Platumz alitajwa kuwania tuzo nyingine tena za kimatatifa MTV EMA 2015 jijini Milan Italy.



dai2
Headlines za Diamond Platnumz haziishii hapo, good news kwako mtu wangu msanii wetu wa Bongo Flava anazidi kuonyesha ubora wake kwenye nafasi mbalimbali za tuzoAfrica… Diamond amepokea ushindi wa tuzo nyingine tena! African NAFCA Awards 2015 imemtaja Diamond kuwa Msanii wa mwaka anaependwa na wimbo wa Nana’umetajwa kuwa Wimbo wa mwaka unaopendwa!

dai4



Följ

I would love to say thank you to everybody who Voted for me on @africannafca Awards...am so grateful, i wouldn't have Made it without you...here are our Trophies....i will always make sure i work hard to make My Africa Proud..also wanna Thank @africannafca for keep Supporting African talents....please, don't forget to Vote for me on @MtvEma awards through the link on my Bio ☝#FavouriteArtistOfTheYear #FavouriteSongOfTheYear (Hata nikisema niwashkuru, maneno hayataweza kuelezea Shukran zangu kwenu.... ila sikuzote ningependa mfahamu kuwa Nitaendelea kuhaso hadi jasho langu la Mwisho, kuhakikisha Mziki wetu una acha kudhalauliwa na Kuheshimiwa kama Miziki ya wengine... -Msanii wa Mwaka Anaependwa -Nyimbo ya Mwaka Inayopendwa #NANA🙏

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...