Skip to main content

HARUSI YA MANAGER WA SAUTI SOL ILIVYOKUWA KWENYE BUSTANI ZA KENYA


Good news kwa watu wa nguvu ambao +254 Kenya  inayatambua majina yao ambayo yako kwa wino mzito kabisa kwenye Industry ya Entertainment Kenya, wa kwanza ni  Annabel Onyango ambae ni Mwanamitindo staa kabisa kutoka Kenya… mwingine ni Marek Fuchs ambae ni Manager wa Group la Mastaa wakali kabisa, Sauti Sol.
Majina ya wawili hao, yani Annabel na Marek sasahivi wanazungumziwa tofauti, wamekuwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi kwa zaidi ya miaka nane na sasahivi ninazo pichaz mtu wangu, uthibitisho tosha kabisa kwamba wao sasahivi ni mtu na mume wake.
Kama bado hujakutana nazo, unaweza kuzicheki hapa mwanzo mwisho pamoja na baadhi ya mastaa wa +254 waliokula mwaliko wa nguvu kabisa ikiwemo Sauti Sol wenyewe !


Anna-1
Mwenye suti nyeupe ndio bwana Harusi mwenyewe, Marek Fuchs na nyuma yake ni Bibi Harusi, Annabel Onyango mwenyewe katika ubora wao.
anna-2

anna-8
Bien-Aimé Baraza, moja ya Mastaa wa Sauti Sol.. camera ikawanasa kwenye story na mrembo wake pembeni.
anna-7
Baadhi ya Wageni waalikwa ndani ya suti nyeusi.. safi kabisa yani..
anna-6
Sauti Sol kwenye stage, time ya burudani ya good music !
anna-4
Mambo sikuhizi sio lazima Sherehe ya Harusi ikafanyika Ukumbini, kama hali ya hewa inaruhusu kuna Bustani poa kabisa ambapo hata Maharusi hao waliona wafanyie Bustanini kwenye mazingira ya kuvutia kabisa.
anna-12

anna-13

anna-14
Baadhi ya Wageni waalikwa kwenye picha ya pamoja na Maharusi hao.
Yemi-Alade-Sugar-B-T-S-Photo-400x600
Bibi Harusi na wapambe wake pembeni.
Harusi yao ilikuwa kwenye Bustani za Great Rift Valley Lodge iliyoko Naivasha, Kenya siku ya Jumamosi September 19 2015.
CHANZO: Millard Ayo

Popular posts from this blog

YEBOYEBO,MTINDO WA NYWELE UNAOPENDWA HADI SASA

MICHORO MBALIMBALI YA HINA

JINSI YA KUPAKA RANGI NDANI YA NYUMBA YAKO

Swala la kuchagua rangi inayofaa ndani ya nyumba huwachanganya wengi.Wengi hushindwa kuamua ni rangi gani wapake. Na endapo mtu atataka kuchanganya rangi za aina mbili au zaidi ni rangi gani atumie? Habari hii inaweza kuwasaidia kidogo kwani nitawawekea baadhi ya picha jinsi rangi zinavyoweza kupangiliwa na kupendeza.Kikubwa vilevile zingatia samani ulizonazo au unazohitaji kuweka katika nyumba yake ili usilete mchanganyiko wa rangi utakaoumiza kichwa.